ARSENAL KUMSAJILI MKENYA VICTOR WANYAMA?



Kiungo wa zamani wa klabu ya soka ya Arsenal Paul Merson ameitaka klabu ya Arsenal kumsajili kiungo wa Southampton Victor Wanyama katika kipindi cha dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwakani.

Klabu ya Tottenham ilishindwa kumnasa kiungo huyo mwenye uraia wa Kenya na inaelezwa kuwa sasa wanajipanga kutenga mezani dau linguine.

Merson amesema Wanyama ni mchezaji sahihi mwenye nguvu na mwenye uwezo wa kutawala eneo la katikati kwa kuwapasia Ozil, Sanchez, Cazorla.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment