LIGI YA TAIFA YA KIKAPU YAZIDI KUWA TAMU

Michuano ya Ligi ya mpira wa kikapu ngazi ya taifa inazidi kushika kasi huko Dodoma ambapo jana mechi nne zimechezwa

Kigoma 79- 63 Iringa
Dodoma 49- 57 mtwara
Mwanza 60- 65 Dsm
Iringa 63 - 115 Mbeya

RATIBA YA MECHI ZA LEO NI KAMA IFUATAVYO...

1⃣ Mtwara Kigoma saa 2 Vijana.

2⃣ Dsm va Mbeya saa 2 Jamhuri.

3⃣ Mwanza vs Dodoma saa 4 Jamhuri.

4⃣ Mbeya vs kigoma saa 8 Jamhuri.

5⃣ Mwanza vs Iringa saa 8 Vijana.

6⃣ Dodoma vw Dsm saa 10 Jamhuri

7⃣ Iringa vs Mtwara saa 10:30 Vijana
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment