ZANZIBAR HEROES 'YAFUFUKA'HUKO ETHIOPIA

Baada ya kupoteza michezo miwili katika michuano ya chalenji nchini Ethiopia hatimaye Zanzibar Heroes imezinduka na kuitwanga timu ya Kenya mabao 3-1.

Zanzibar wamepata ushindi huo mzito kupitia kwa wachezaji wake Mcha Hamis na Seleman Kassimaliyefunga mabao mawili mchezo uliochezwa katika dimba la uwanja wa Awasa,nchini Ethiopia.

Zanzibar katika mchezo wa leo walionyesha uhaina kufanikiwa kuwaadhibu wakenya kwa mabao hayo 3-1.
Zanzibar inakumbukumbu ya kuanza michuano hiyo kwa kukubali kichapo cha kwanza cha bao 1-0 kutoka kwa Burundi kisha kutandikwa bila huruma na Uganda mabao 4-0.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment