Chelsea kwa sasa ina hali mbaya sana katika Ligi kuu ya England baada ya kukwama katika nafasi ya 15 na kuachwa mbali na timu zingine.
Hapo juzi pia imepoteza mchezo mwingine baada ya kufungwa na Bournemouth FC bao 1-0.
Zifuatazo ni picha za utani zilizosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ndani na nje ya nchi.

0 comments:
Post a Comment