MOURINHO ATIMULIWA CHELSEA

Klabu ya Chelsea imemtimua kocha wake Jose Mourinho ikiwa ni mezi saba tu tangu kocha huyo akiongoze kikosi cha The Blues kutwaa ubingwa wa ligi ya England maarufu kama EPL

Kutokana na kumfukuza kazi na ndio kwanza yupo kwenye mwaka wake wa kwanza wa mkataba wa miaka 4, Chelsea itamlipa kocha huyu kiasi cha pound milioni 40.

Usiku wa jana uongozi wa Chelsea ukiongozwa na mmiliki Roman Abramovich ulitumia muda mwingi kujadili hatma yake.

Imepita miezi 7 tangu ashinde ubingwa wa ligi ya Uingereza, chanzo kikubwa cha kufukuzwa kazi ni matokeo mabovu ya klabu yake.

Hii ni mara ya kwanza kwa Mourihno kufukuzwa kazi kati ya club zake kubwa alizowai kufundisha.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment