SIMBA YATOA DOZI ZENJI, AZAM YABANWA TANGA

Simba SC leo(Disemba 3) imeitandika mabao 5-2 timu ya Kimbunga FC ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na Ibrahim Hajib dakika ya 14 na 46, Danny Lyanga dakika ya 32, Nahodha Mussa hassan Mgosi dakika ya 38 na Haji Ugando.

Nayo Azam FC ikicheza na Mgambo huko Tanga, imetoka sare ya bao 1-1.

Bao la Azam lilifungwa na Kipre Tchetche.

Mechi zote hizo ni za kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuendelea Disemba 12 mwaka huu.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment