Kocha mkuu wa Taifa Stars Charles Mkwasa amempa unahodha wa timu hiyo mshambuliaji Mbwana Samatta.
Hapo kabla unahodha wa timu hiyo ulikuwa unashikwa na beki Nadir Haroub Canavaro.
Samatta amepewa heshima hiyo kufuatia kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani ya bara hilo.

0 comments:
Post a Comment