YAJUE MAMBO SITA MAZURI KUHUSU MBWANA SAMATTA

REKODI TAMU ZA SAMATTA

KWANZA: Ni mchezaji wa kwanza wa Tanzania kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anayecheza ndani ya Afrika.

PILI: Siku ya tarehe 7 alizaliwa na tuzo pia alipewa tarehe 7.Hii ina maana kwamba alizaliwa Januari 7,1992 na amepewa tuzo ya mwanasoka bora siku ya Januari 7 mwaka 2016.

TATU: Mtanzania aliyetwaa taji la Klabu Bingwa Afrika akiwa na klabu ya nje ya nchi hiyo(Thomas Ulimwengu ni mmoja wapo)

NNE: Mtanzania pekee aliyeibuka mfungaji bora katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika akiwa anacheza soka la kulipwa na klabu ya nje ya nchi.

TANO: Aliibuka mfungaji bora wa Afrika ngazi ya vilabu kwa kufunga mabao 8 na bahati nzuri ilikuwa Novemba 8,2015.

SITA: Amekuwa Mtanzania wa kipekee aliyepata tuzo ya klabu bora ya Afrika(TP Mazembe).Tuzo hiyo inamuhusu pia Thomas Ulimwengu.

NB: Imeandaliwa na Arone Mpanduka@MPANDUKA BLOG
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment