Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Jumamosi (Jan
30) kwa mechi mbalimbali kuchezwa.
Coastal
Union 2-0 Yanga
Mabao ya Coastal yamefungwa na Miraji Adam(27) na Juma
Mahadhi(62)
Simba
SC 4-0 African Sports
Mabao ya Simba yamefungwa na Hamis Kiiza dk ya 14 na
43, Kessy (31) na Ugando(75)
JKT
Ruvu 0-0 Majimaji
Mtibwa
Sugar 1-0 Stand United (IMEVUNJIKA)
Mechi hii imevunjika katika dakika ya 45 kufuatia mvua
kubwa akunyesha wakati Mtibwa ikiwa mbele kwa bao 1-0 na itaendelea kesho
Jumapili saa 2 asubuhi.Kwa mujibu wa kanuni za Ligi hiyo, mechi itaendelea
kuanzia dakika ya 46 na kuendelea.
Mwadui
FC 1-0 Toto Africans
Bao la Mwadui limefungwa na Kevin Sabato

0 comments:
Post a Comment