YONDANI AIPELEKA YANGA KILELENI

Yanga imeifunga Ndanda bao 1-0 na kufikisha pointi 36 sawa na Azam FC lakini imekaa kileleni kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Azam FC imeshuka hadi nafasi ya pili baada ya sare ya mabao 1-1 dhidi ya African Sports usiku wa Jumamosi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.

 Ndanda FC ambao wako katika nafasi ya tatu kutoka nafasi ya tatu kutoka chini ikiwa na pointi

Bao la Yanga limefungwa kwa penati na beki Kelvin Yondani.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment