![]() |
| Uwanja wa taifa wa Addis Ababa ambao utatumika kwa mchezo wa fainali wa michuano ya Chalenji |
Hatua ya makundi ya michuano ya CECAFA Senior
Challenge Cup itaendelea tena kesho kwa mechi tatu ambapo…
Rwanda vs Somalia
- saa 8 mchana
Zanzibar vs Kenya
- saa 10 jioni
Sudan Kusini vs Malawi - saa 12 jioni
Endapo Zanzibar Heroes ikafanikiwa kushinda kwa mabao mengi kesho huenda ikajiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele hasa kwa nafasi ya mshindwa bora.

0 comments:
Post a Comment