ANDY MURRAY ALAMBA TUZO

Mchezaji Tennis Andy Murray ameibuka kuwa mshindi katika kura za kusaka mchezaji bora wa Tennis katika shindano lililoandaliwa na BBC.

Murray alikabidhiwa zawadi hiyo huko Ireland ya Kaskazini na Mwanamasumbwi mkongwe Barry Mc Guigan mbele ya mashabiki wapatao 7,500 na umati wa watu waliohudhuria katika shughuli hiyo.

Mshindi huyu mara mbili kwa tuzo hizo, Andy Murry mwaka huu ameonekana kuboresha kiwango chake na amefanikiwa kufikia fainali za mashindano ya Austarilian na fainali za Wimbledon.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment