Arsenal imefanikiwa kuifunga Manchester City mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa usiku wa Jumatatu(Dis 21).
Katika mchezo huo mabao ya Arsenal yamefungwa na Walcott (33') na Giroud (45') huku la City likifungwa na Yaya Toure(82')
Licha ya ushindi huo Arsenal ipo nafasi ya pili kwa pointi 36 nyuma ya Leicester City inayoongoza kwa pointi 38.

0 comments:
Post a Comment