Timu ya soka ya Azam FC leo imetimiza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi kwenye siku ya sherehe ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika.
Uongozi wa Azam pamoja na wachezaji walitembelea Zahanati ya Chamazi na kujumuika nao katika zoezi la kufanya usafi lililoanza kuanzia saa 12:30 asubuhi hadi saa tatu asubuhi.
TAARIFA HII PAMOJA NA PICHA NI KWA MUJIBU WA UKURASA WA FACEBOOK WA KLABU HIYO.

0 comments:
Post a Comment