Azam FC bado inaendelea na kasi yake ya mazoezi kujiandaa na mchezo wa Jumamosi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba SC.
Azam ilikwenda Tanga wiki iliyopita na kurejea tena Dar es salaam, Chamazi kwa ajili ya maandalizi.
Simba wao wapo Zanzibar wakiendelea kujifua kwa ajili ya mchezo huo.
TAZAMA PICHA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment