Ligi Kuu soka nchini Uingereza imeendelea tena leo
kwa mechi kadhaa zikipigwa kwenye viwanja mbalimbali ambapo…
Chelsea 3 - 1 Sunderland FT
Everton 2 - 3 Leicester FT
Man Utd 1 - 2 Norwich FT
Southampton 0 - 2 Tottenham FT
Stoke 1 - 2 Crystal Palace FT
West Brom 1 - 2 Bournemouth FT
 |
| Kocha mpya wa Chelsea Guus Hiddink(wa kwanza kushoto) akiwa jukwaani na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo Didier Drogba. Anayeonekana kulia ni mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich wakati mchezo kati ya Chelsea na Sunderland ukiendelea. |
 |
| Baada ya kutimuliwa, kocha Jose Mourinho leo hakuwa na habari na Ligi Kuu England na balada yake alikwenda kutazama mchezo wa Championship kati ya Brighton na Middlesbrough |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment