Na Arone Mpanduka
Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea tena kesho Jumamosi(Dis 12) kwa mechi kadhaa.
Ligi hiyo ilisimama tangu Novemba pili mwaka huu kupisha maandalizi ya timu ya Taifa Stars iliyokuwa ikijiandaa na michezo ya nyumbani na ugenini dhidi ya Algeria ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya kuwania kucheza fainali za dunia za mwaka 2018.
Stars iliambulia kichapo cha jumla ya mabao 7-2 katika mechi zote mbili ambapo Dar es salaam ilitoka sare ya 2-2 na huko Algeria ikafungwa 7-0.
Ikumbukwe kuwa Ligi inaendelea kesho huku ikiwa bado katika duru la kwanza.
Duru la pili litaanza mwakani.

0 comments:
Post a Comment