Wakati Serikali ya Tanzania ikiwa ndiyo kwanza imeanza harakati za kukusanya kodi katika taasisi za michezo, nchini Hispania suala hilo limeendelea kuwa la kawaida kufuatia mchezaji wa Barcelona kukumbwa na rungu hilo.
Klabu ya FC Barcelona imekuwa na historia ya kuhusishwa na ukwepaji kodi mbalimbali kupitia wachezaji wake maarufu, akiwemo Lionel Messi, Neymar na Javier Mascherano, na hatimaye jana mahakama moja nchini Hispania imetoa hukumu ya kwenda Jela kwa mmoja wa mastaa wao.
Kama ilivyotegemewa, Muargentina huyo sasa itabidi alipe kiasi kikubwa cha faini baada ya kukubali kosa ya kukwepa kodi mwanzoni mwa mwaka.
Mascherano ameamriwa kulipa faini ya €816,000 (£588,000), ambayo ni fedha nyingi sana – ukizingatia mchezaji huyo analipwa £130,000 kabla ya kodi.
Mchezaji huyo pia amehukumia kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini kama ilivyo kesi za watu wengi maarufu – Mascherano hatokwenda jela baada ya mawakili wake kufikia makubaliano maalum na mahakama na aaendesha mashtaka.

0 comments:
Post a Comment