Mchezaji wa timu ya soka ya Simba Raphael Kiongera
ambaye amerejea tena Msimbazi akitokea timu ya KCB ya nchini Kenya, leo ameanza
rasmi mazoezi na wekundu hao huko Zanzibar.
Jana Kiongera alitua Zanzibar kuungana na kikosi
hicho ambacho kimeweka kambi Visiwani humo kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu
dhidi ya Azam utakaopigwa jijini Dar es salaam Disemba 12 mwaka huu.
Zifuatazo ni picha zikimuonyesha jinsi alivyoanza kazi leo.



0 comments:
Post a Comment