Usiku wa Disemba 15 dirisha la usajili lilifungwa rasmi kwa timu za Ligi kuu Tanzania Bara.
Ifuatayo ni orodha ya timu mbalimbali za Ligi kuu zilizofanikiwa kuongeza wachezaji na zile ambazo hazijaongeza
Simba SC
Waliosajiliwa:
Bria Majwega (kutoka Azam FC)
Raphael Paul Kiongera (alikuwa kwa mkopo KCB ya Kenya, amerudi Simba SC)
Dany Lyanga (kutoka FC Lupopo)
Haji Ugando (kutoka Nakuru All Stars)
Novatus Lurunga (kutoka African Spots)
Azam FC
Waliosajiliwa:
Ivo Mapunda (mchezaji huru)
Yanga SC
Waliosajiliwa:
Paul Nonga (kutoka Mwadui FC)
Issoufou Boubacar Garba
Mbeya City
Waliosajiliwa:
Tumba Swed (kutoka Coastal Union)
Abdallah Juma (kutoka Toto Africans)
Deo Julius
Ditram Nchimbi
Ramadhani Chombo (mchezaji huru)
Mtibwa Sugar
Waliosajiliwa:
Kelvin Friday (kutoka Azam-kwa mkopo)
Boniphace Mganga(kutoka Simba-kwa mkopo)
Mgambo Shooting
Waliosajiliwa:
Mudathir Hamis (mchezaji huru)
Nurdnin Mganga (kutoka Mkonge)
Coastal Union
Waliosajiliwa:
Adam Miraji (kutoka Simba-kwa mkopo)
Omary Wayne (kutoka Azam FC-kwa mkopo)
African Sports
Waliosajiliwa:
Wamesajili wachezaji saba (7) kutoka timu mbalimbali za madaraja ya chini za mkoani Tanga
Ndanda FC
Waliosajiliwa
Jackson Mkwera
Bryson Raphael (Kutoka Azam FC-kwa mkopo)
Ramadhani Kiparamoto (kutoka Abajalo FC)
Toto Africans
Waliosajiliwa:
Imejaza nafasi zake kwa kusajili wachezaji saba walioisaidia timu hiyo kupanda ligi kuu lakini baadae ikawaacha ambao ni;
Ladslaus Mbogo, John Bosco, Frank Kimati, Shingwa Musa , Jumanne Ahmed, Maneno Shabani na Yusuf Suleiman
Tanzania Prison
Waliosajiliwa:
Baraka Gamba (kutoka Wenda FC)
Mwadui FC
(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajil
Stand United
(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajili)
Kagera Sugar

0 comments:
Post a Comment