Ligi kuu soka Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa
mechi kadhaa ambapo….
Kagera
Sugar 1-1 Ndanda FC
Stand
United 0-2 Mwadui
Mabao
ya Mwadui yamefungwa na Gwase na Paul Nonga
Mbeya
City 2-2 Mtibwa Sugar
Azam
FC 2-2 Simba SC
Mabao
yote ya Azam yamefungwa na John Bocco (dk 1 na 76) nay a Simba yamefungwa na
Ibrahim Ajib (dk 25 na 68)
Majimaji
1-5 Toto Afrika
Mgambo
JKT 0-0 Yanga SC

0 comments:
Post a Comment