MWAMBUSI,JULIO 'KUZIGEUKA'TIMU ZAO?

Ligi kuu soka Tanzania Bara itaendelea tena kesho kwa mechi kadhaa ambapo..

Katika Ligi hiyo makocha wawili watakumbana na timu zao za zamani.

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi ambaye awali alikuwa kocha mkuu wa Mbeya City atakaa kwenye benchi la ufundi la Yanga kuvaana na Mbeya City.

Naye aliyekuwa kocha wa Simba Jamhuri Kihwelo kesho atakuwa kwenye benchi la ufundi la Mwadui FC kupambana na Simba SC

Ndanda FC vs JKT Ruvu 16:00

Young Africans vs Mbeya City 16:00

Majimaji vs Tanzania Prisons 16:00

Mwadui FC vs Simba SC 16:00

Mtibwa Sugar vs Mgambo JKT 16:00

Coastal Union vs Stand United 16:00
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment