Mabondia Francis Cheka na Thomas Mashali asubuhi ya leo wamepima uzito kwa ajili ya pambano lao la kesho.
Pambano hilo lisilo na ubingwa litafanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Lengo la pambano ni kukata ngebe kwa kila mmoja kufuatia tambo za siku nyingi.
Zoezi la kupima uzito lilifanyika kwenye eneo la Msamvu mjini Mororogo chini ya uangalizi wa promota Kaike Siraju.
Zifuatazo ni picha zinazoonyesha mabondia hao wakipima uzito leo Alhamis.

0 comments:
Post a Comment