Yanga imekamilisha dili baada ya kumsajili Paul Nonga kutoka klabu ya Mwadui FC.
Nonga amesaini mkataba wa miaka miwili Jumanne jioni( Dis 14).
Mchezaji mwingine ambaye Yanga imefanikiwa kumsainisha mkataba ni Mniger Issoufou Garba ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja.
Endapo atafanikiwa kuwashawishi viongozi kwa kuonyesha kiwango kizuri, Garba anaweza kuongezewa mwaka mwingine.

0 comments:
Post a Comment