Timu ya soka ya TP Mazembe mchana wa leo(Jumapili) itakumbana na Sanfrecce Hiroshima katika mchezo wa robo fainali ya Klabu bingwa ya dunia utakaochezwa huko Japan.
Michuano hiyo ambayo inafanyika nchini Japan, ilianza Disemba 10 mwaka huu.
Mazembe itaongozwa na Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu ambao pia ni wachezaji wa Taifa Stars.
Mechi hiyo ya leo kati ya Mazembe na Hiroshima itaanza saa saba na nusu mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
RATIBA KAMILI
13 Dec TP Mazembe Vs Sanfrecce Hiroshima 13:30 World Football
16 Dec Loser 2 Vs Loser 3 10:30 World Football
16 Dec Winner 3 Vs Club Atletico River Plate 13:30 World Football
17 Dec Barcelona Vs Winner 2 13:30 World Football
17 Dec Loser 5 Vs Loser 6 10:30 World Football
20 Dec Winner 6 Vs Winner 6 13:30 World Football

0 comments:
Post a Comment