VAN GAAL 'ACHAFUA HEWA'

Kocha mkuu wa Manchester United Louis Van Gaal ameendelea kuwakera mashabiki wa timu hiyo baada ya kujikuta akichapwa mabao 2-1 na Bournemouth katika mchezo wa Ligi kuu England uliopigwa usiku wa Jumamosi.

Bournemouth walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya pili ya mchezo kupitia  Junior Stanslas na katika dakika ya 24 Fellain aliisawazishia Man United goli hilo.

Timu hizo zilienda mapumziko zikiwa sare ya 1-1,kipindi cha pili Bournemouth walipata goli la ushindi kupitia Joshua King dakika ya 54 na mpaka dakika ya 90 Man United ilikuwa nyuma kwa goli mbili kwa moja
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment