TP MAZEMBE YATOLEWA JAPAN

Timu ya soka ya TP Mazembe mchana wa leo(Dis 13) imetolewa kwenye michuano ya Klabu bingwa ya Dunia baada ya kufungwa mabao 3-0 na timu ya Sanfrecce Hiroshima.

Mchezo huo ulikuwa ni wa robo fainali uliopigwa huko nchini Japan.

Hiyo ni mara ya pili kwa Mazembe kushiriki michuano hiyo.

Mara ya kwanza ilikuwa ni miaka minne iliyopita ambapo ilifanikiwa kufika hatua ya fainali na kucheza na Inter Milan ya Italia lakini haikufanikiwa kutwaa taji hilo.

MATOKEO

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment