VIDEO: MUANGALIE VAN GAAL ALIVYOWAKIMBIA WAANDISHI WA HABARI

Kituko hiki kilitokea jana Disemba 23 wakati kocha mkuu wa Manchester United Louis van Gaal alipoamua kukatisha mkutano wake na waandishi wa habari kwa kuondoka ghafla kwenye chumba cha mikutano.

Van Gaal alikasirishwa na maswali ya waandishi wa habari.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment