ARSENAL YAOPOA KINDA WA MIAKA 23



Klabu ya soka Arsenal imethibitisha kusaini kiungo wa klabu ya FC Basel Mohamed Elneny baada ya kusikika kwa minong’ono mingi ya kumtwaa mchezaji huyo.

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu hiyo imemnunua kiungo wa kati wa FC Basel ili kukiongezea kasi kikosi chake katika harakati za kuwani ubingwa wa ligi kuu.

Kutokana na kusajiliwa kwa kiungo huyo sasa klabu ya Arsenal inaweza ikamtumia katika mchezo wake wa jumapili watakokutana na klabu ya anaweza kuwachezea dhidi ya Stoke Jumapili.

Elneny, 23, anaripotiwa kuwagharimu the Gunners £5m kutua katika klabu hiyo yeye maskani yake jijini London.

Wenger amesema kiungo huyo amejiunga nao na watajaribu kumchezesha katika mchezo wao wa jumapili kuona kama ataweza.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment