ETI PSG IMSAJILI MESSI !




Beki nguli wa klabu ya soka ya Paris Saint-German Thiago Silva anaamini klabu yake inaweza ikamsajili mshambuliaji hatari wa klabu ya soka ya Barcelona Lionel Messi ambaye ni raia wa Argentine au Cristiano Ronaldo ambaye ni raia wa Portuguese katika kipindi cha usajili.

Silva anaamini kumsajili mshambuliaji wa  Barcelona kama Neymar inaweza kuwa kama daraja kubwa hadi  Paris Saint-Germain,lakini klabu yake ianaweza ikapata hafueni kama ikiwachukua nyota Lionel Messi au Cristiano Ronaldo.

Mabingwa hao wa Ligue 1 wanaamini wanataka kutumia kiasi kikubwa cha fedha kwawajili ya kuchua nyota ambao watawaletea mafanikio katika kipindi kijacho kuliko kumtegemea mchezaji Zlatan Ibrahimovic,ambaye mkataba wake unakaribia kuisha.

"Nampenda sana Neymar lakini naikifiri Barcelona haiwezi kuturuhusu kumchukuwa mchezaji huyo kutua klabuni kwetu kutoka ya kuwa ni tegemeo lao kubwa”,alisema Silva.

Silva amesema Neymar anamkataba na klabu yake ya Barcelona unaomaliziki June 2018, lakini wazee hao wabut Catalans wanajiaandaa kumuongezea mkataba mwingine mchezaji huyo.

Amesema Messi mwenye miaka 28 hivi sasa na Ronaldo mwenye miaka 30 hivi sasa mikataba yao inaisha pamoja June 2018 lakini Barcelona na Real Madrid wanaweza wakawaachia kwenda klabu zingine.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment