Mwanadada Mjerumani ANGELIQUE KERBER ambaye anashika
namba 6 kwa ubora wa tenisi duniani leo amefanikiwa kutwaa ubingwa wa
Australian Open kwa mara ya kwanza baada ya kumlaza gwiji Serena Williams
katika mchezo wa fainali uliopigwa leo.
KERBER ameshinda kwa seti 6-4,3-6, 6-4 katika mchezo
huo wa fainali ambapo ilikuwa mara yake ya kwanza.

0 comments:
Post a Comment