AC MILAN YAINYUKA INTER MILAN



Timu ya soka ya AC Milan usiku wa jana imeinyuka Inter Milan mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi kuu ya soka nchini Italia maarufu kama Serie A.

Mabao ya AC Milan yamefungwa na Alex 35, Bacca 73 na Niang 77.

Katika mchezo huo jumla ya kadi nne za njano zilitoka ambapo kwa upande wa AC Milan wachezaji Alex, Kucka na Balotelli walioneshwa kadi za njano huku Jovetic akioneshwa kadi ya njano kwa upande wa Inter Milan.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment