RUVU SHOOTING YAREJEA LIGI KUU

Ruvu Shooting leo imerejea Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuinyuka Lipuli ya Iringa mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa huko Iringa.

Shooting ilishuka daraja katika msimu uliopita na sasa itaonekana tena katika msimu ujao wa Ligi Kuu.

Ruvu shooting imerejea Ligi Kuu huku ikiwa bado imebakiza mechi mbili katika Ligi Daraja la kwanza.

Lakini tayari Ruvu Shooting ilikuwa tayari imerejea Ligi Kuu hata kabla ya kucheza na Lipuli kwani Njombe Mji ambao walikuwa wanawakaribia kwa pointi wamefungwa 1-0 na Mlale JKT mchezo uliochezwa saa 8 mchana leo katika uwanja wa Majimaji, Songea.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment