ANGALIA 'BOKO'LA TFF LILILOZUA GUMZO MITANDAONI

Mechi ya jana ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam ilimalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2.

Lakini Shirikisho la soka nchini TFF kupitia akaunti yake ya twitter iliandika kwamba Yanga imeshinda mabao 3-2.

Tweet hiyo ya kimakosa ilizua mijadala kwenye mitandao ya kijamii na kufanya wengine waende mbali zaidi na kudai kwamba Shirikisho hilo lilidhamiria kupanga matokeo na ndiyo maana likajisahau kwa kuandika matokeo hayo.

MPANDUKA BLOG imekuwekea tweet hiyo iliyozua gumzo mitandaoni ingawa siku zote mpira ni dakika tisini na ni lazima kwa kila mdau kuheshimu matokeo.

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment