Mshambuliaji wa Paris St-Germain (PSG) Zlatan Ibrahimovic amethibitisha kuihama klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Ibrahimovic amepost katika mtandao wa Twitter maneno kwamba mchezo ujao wa klabu hiyo utakuwa ndio mchezo wake wa mwisho katika uwanja wa nyumbani wa timu hiyo ujulikanao kama Parc des Princes.
Mshambuliaji huyo ataondoka PSG akishikilia rekodi ya mfungaji bora wa timu hiyo akiwa na magoli 152 katika michezo 178 aliyoichezea timu hiyo.
Muda mfupi baada ya Ibrahimovic kuandika tweet yake, akaunti rasmi ya PSG walipost picha yenye maneno "Merci Zlatan" yaani Asante Zlatan

0 comments:
Post a Comment