Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya hatua ya
makundi imeendelea tena usiku wa jana ambapo…
Malmö
FF 0 - 5 PSG
Mabao
ya PSG yamefungwa na Rabiot 3′ Di María
14′, 68′ Ibrahimovic 49′ Lucas Moura 82′
Shakt
Donsk 3 - 4 Real Madrid
Mabao
ya Real Madrid yamefungwa na Ronaldo 18′, 70′ Modric 50′ Carvajal 52′ na ya
Donetsk yamefungwa na Teixeira 77′ (pen), 88′ Ferreira Bonfim 83′
Man
Utd 0 - 0 PSV Eindhoven
Juventus
1 - 0 Man City
Bao
la Juve limefungwa na Mandzukic 18′
CSKA
0 - 2 VfL Wolfsburg
FC
Astana 2 - 2 Benfica
Atl
Madrid 2 - 0 Galatasaray
B
M'gladbach 4 - 2 Sevilla

0 comments:
Post a Comment