WENGER: "NIKITIMULIWA SIBAKI EPL"

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa hadhani kama ataweza kufundisha klabu nyingine ya Ligi Kuu kama akitimuliwa na klabu yake. 

Meneja huyo raia wa Ufaransa amekuwa akiinoa Arsenal toka mwaka 1996, akishinda mataji matatu ya Ligi Kuu, sita ya Kombe la FA katika kipindi cha miaka 19 alichokaa hapo. 

Na wakati mkataba wake wa sasa ukikaribia kumalizika mwaka 2017, Wenger amedai kuwa anaweza kuendelea kuinoa Arsenal lakini kama akiondolewa hadhani kama anaweza kutafuta timu nyingine Uingereza.

Wenger amesema soka imekluwa kitu anachopenda hivyo hata akiondoka Arsenal lazima ataendelea kufundisha lakini haitakuwa Uingereza.

MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa hadhani kama ataweza kufundisha klabu nyingine ya Ligi Kuu kama akitimuliwa na klabu yake. Meneja huyo raia wa Ufaransa amekuwa akiinoa Arsenal toka mwaka 1996, akishinda mataji matatu ya Ligi Kuu, sita ya Kombe la FA katika kipindi cha miaka 19 alichokaa hapo. Na wakati mkataba wake wa sasa ukikaribia kumalizika mwaka 2017, Wenger amedai kuwa anaweza kuendelea kuinoa Arsenal lakini kama akiondolewa hadhani kama anaweza kutafuta timu nyingine Uingereza. Wenger amesema soka imekluwa kitu anachopenda hivyo hata akiondoka Arsenal lazima ataendelea kufundisha lakini haitakuwa Uingereza.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment