Klabu ya soka ya Valencia leo imemtangaza mchezaji
wa zamani wa Manchester United Gary Neville kuwa kocha wao mpya akichukua
nafasi ya Mreno Nuno Santo aliyetimka klabuni hapo Novemba 29 mwaka huu.
Gary Naville anaungana nakaka yake Phil Neville
ambaye amekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo tangu mwezi Julai.
Gary ataifundisha timu hiyo hadi mwisho wa msimu huu
na pia ataendelea kuwa katika benchi la timu ya Taifa ya England.

0 comments:
Post a Comment