Watanzania Thomas Ulimwengu(kushoto) na Mbwana Samatta(kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili nchini Japan na kikosi cha TP Mazembe ya Congo DR tayari kwa ushiriki wa fainali za Klabu Bingwa ya Dunia.Hii ni mara ya pili kwa Mazembe kushiriki fainali hizo.Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2011 ambapo ilivaana na Inter Milan katika mchezo wa fainali ambao hata hivyo ilishindwa kutwaa kombe.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment