Kocha mkuu wa Simba Muingereza Dylan Kerr ameonyesha dalili za kufukuzwa na timu hiyo baada ya ykuandika maneno ya kuwashukuru na kuwaaga mashabiki wa timu hiyo na Watanzania kwa ujumla.
Mapema leo Kerr kupitia mitandao ya kijamii alionekana kuandika maneno hayo yanayoashiria kwamba hatokuwa tena na Simba.
Matamshi ya Kerr yanakuja kufuatia usiku wa jana kusambaa kwa taarifa kuwa ameitwa na kamati ya utendaji kwa kikao maalum.

0 comments:
Post a Comment