Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa bao 1-0 baada ya usiku wa Ijumaa kuifunga JKU bao 1-0.
Bao la Simba limefungwa na Jonas Mkude katika dakika ya 64.
Kwa matokeo hayo Simba imefikisha jumla ya pointi 7 na kutinga nusu fainali.
Ikumbukwe kuwa mashindano haya hayana robo fainali.
RATIBA YA NUSU FAINALI
Mechi za nusu fainali zitapigwa Jumapili ya Januari 10 ambapo...
Simba v Mtibwa saa 10:15 jioni
Yanga v URA saa 2:15 usiku.

0 comments:
Post a Comment