Shujaa Mbwana Samatta amerejea nchini usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Wadau mbalimbali walijjtokeza kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere ingawa hawakuwa wengi sana kulingana na muda wenyewe.
Aliwasili saa 8 usiku kama ilivyoelezwa hapo jana.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za Airport na zile za hoteli ya Serena ambako alifikia na tuzo yake na kupiga picha na baadhi ya wanahabari waliofika hotelini hapo.
Tayari Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kumuandalia hafla ya kumpongeza ingawa halijafafanua kwamba lini shughuli hiyo itafanyika.



0 comments:
Post a Comment