LIGI KUU TANZANIA BARA HIYOOO..!

Ligi kuu soka Tanzania bara itaendelea tena kesho kwa mechi zitakazopigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini.

Ligi hiyo ilisimama tangu Januari mosi mwaka huu kupisha mashindano ya kombe la Mapinduzi.

JKT Ruvu vs Mgambo JKT 16:00

Toto Africans vs Tanzania Prisons 16:00

Simba SC vs Mtibwa Sugar 16:00

Stand United vs Kagera Sugar 16:00

Mbeya City vs Mwadui FC 16:00

Coastal Union vs Majimaji 16:00

Azam FC vs African Sports 16:00
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment