Mechi mbalimbali za kimataifa za kirafiki zilipigwa
usiku wa kuamkia Pasaka ambapo …
Azerbaijan 0-1
Kazakhstan
Russia 3-0 Lithuania
Austria 2-1 Albania
Poland 5-0 Finland
Hungary 1-1 Croatia
Germany 2-3 England
Katika mchezo huo Ujerumani ilikuwa ya kwanza kupata
mabao mawili yaliyofungwa na Kroos
(43'), Gomez (57') lakini cha kushangaza Uingereza iliibuka na kufunga mabao
matatu kupitia kwa Kane (61'), Vardy (74' ), Dier (90'+1)

0 comments:
Post a Comment