Michuano ya kombe la FA imeendelea leo kwa mechi
mbili za robo fainali ambapo…
Yanga
2 - 1 Ndanda FC- U/Taifa
Mabao ya Yanga yamefungwa na Paul Nonga na Kelvin
Yondani(pen) huku la Ndanda likifungwa na Kigi Makasi
Azam
FC 3-1 Tanzania Prisons- Azam Complex
Mabao ya Azam yamefungwa na Shomari Kapombe(mawili)
na Hamis Mcha huku la Prisons likifungwa na Jeremiah Juma
Kwa
matokeo hayo Azam na Yanga zimetinga nusu fainali.

0 comments:
Post a Comment