Timu za soka za Norwich City, Newcastle na Aston Villa zimeteremka rasmi daraja katika msimu huu wa Ligi Kuu England.
Norwich na Newcastle zote zina pointi 34 kila moja huku Aston Villa ikiwa na pointi 17.
Katika wimbi hilo Sunderland imenusurika kutoshuka kama kawaida yake kwa kuwa na pointi 38 hadi sasa ambazo zimeiweka mahali salama.
Wakati huohuo usiku wa jana Jumatano, mechi mbalimbali za Ligi Kuu England zimechezwa ambapo.
Liverpool 1-1 Chelsea
Sunderland 3-0 Everton
Norwich 4-2Watford

0 comments:
Post a Comment