JESHI LA SIMBA SC LITAKALOIVAA NDANDA LEO HILI HAPA

Simba SC jioni ya leo kinashuka dimbani kuikabili Ndanda FC katika mchezo mmoja wa Ligi Kuu bara utakaochezwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara.

Tayari kocha mkuu, Dylan Kerr amepanga kikosi cha leo.

1. Vicent Agban
2. Emiry Nimuboma
3. Mohammed Hussein 'Tshabalala'
4. Juko Murshid
5. Abdi Banda
6. Justice Majabvi
7. Danny Lyanga
8. Mwinyi Kazimoto
9. Hamisi Kiiza
10. Paul Kiongera
11. Brian Majwega
BENCHI
12. Peter Manyika
13. Mohammed Faki
14. Ibrahim Ajib
15. Said Ndemla
16. Awadh Juma
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment