Ligi kuu soka Tanzania Bara imeendelea tena
hii leo ambapo….
JKT
Ruvu1-1 Kagera Sugar- Karume, Dar es salaam
Stand
United 1-2Simba Sport – Kambarage, Shinyanga
Mfungaji
wa mabao ya Simba ni Hamis Kiiza 34’ na 47’
Mgambo
JKT 0-1African Sport.- Mkwakwani Tanga
Mbeya
City5-1 Toto
Afrikans - Sokoine, Mbeya
Ramadhani
Chombo 'Redondo' aliifungia Mbeya City mabao mawili, vivyo hivyo Haruna Moshi
'Boban' naye akafunga mawili pia kabla ya Meshack Samwel kufunga la tano.
Ndanda
Fc 1-0 Majimaji- Nangwanda sijaona
Ligi hiyo itaendelea tena siku ya Jumapili
kwa michezo miwili kuchezwa Mwadui Fc watawavaa Tanzania Prisons, huku Coastal
Union wakiwaalika Azam Fc.
KIFUNGUA
MASIKIO
Kama hufahamu Simba SC baada ya ushindi wa
leo imekaa kileleni kwa mara ya kwanza tangu ilipofanya hivyo mara ya mwisho
mwaka 2013.
Simba inaongoza Ligi kuu kwa muda ikiwa na
pointi 45.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment