MICHUANO YA KIKAPU YA MAJIJI YAPEPERUKA

Mashindano ya mpira wa kikapu ya majiji maarufu kama Inter cities yaliyopangwa kufanyika jijini Nairobi yameahirishwa.

Rais wa Shirikisho la Kikapu mkoa wa Dar es salaam, Mwenze Kabinda amesema taarifa waliyoipata kutoka kwa wenyeji inaeleza kwamba mashindano hayo ambayo yalipaswa kuanza leo Julai 19, yameahirishwa kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi na kwamba tarehe nyingine ya mashindano hayo itatangazwa baadae.

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment