KILI STARS YAANZA KWA KISHINDO CHALLENGE CUP

Kibadeni
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars alasiri ya leo imefanikiwa kuinyuka Somalia mabao 4-0 katika mchezo wake wa kwanza wa michuano ya CECAFA Senior Challenge Cup inayoendelea huko nchini Ethiopia.

KUJUA WAFUNGAJI SOMA HAPA CHINI

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment